Sunday, March 10, 2013

KWA HILI WANAWAKE MMEKOSEA

siku ya wanawake ni siku muhimu sana kwani dhumuni ni kwamba wanawake hukutana na kujadili changamoto zinazowakumba. mi nashangaa siku hii huwa ni siku ya kuchuma kwa baadhi ya wanawake kwani utakuta kikundi cha wanawake wanaandaa semina na kukutana kwenye hoteli na mbari na hapo wanaweka kiingilio cha shilingi 30000 na hata 100000. je swali la kijiuliza wale wanawake wa vijijini wanaweza kulipa kiasi hicho cha pesa? mimi naamini kuwa wale wanawake wa vijijini ndio haswa walengwa wa siku hii. tubadilike kwani tunawatenga wanawake wa vijijini kwa umasikini wao na shida zao.

No comments:

Post a Comment