Sunday, March 10, 2013

WAZO LA KATIBA MPYA 2014

Matumain yangu tutakuawa na amani na kitu kimoja pindi itakapofikia muda wa kuandika Katiba mpya, kwani naamini kwamba tukuweka uzalendo na kuacha saisa chafu basi tutapata katiba nzuri sana. Pia ikifika kipindi cha kuipigia kura katiba mi naomba tuweke vyama pembeni na tuangalie maslai ya Watanzania, hii itatusaidia sana kupata katiba imara na yenye nguvu ambayo itatufikisha miaka 50 ijayo. mungu ibariki Afrika na Mungu ibarika Tanzania. Amini

No comments:

Post a Comment